Usiyaache because utaishia kwenye kupata depression tu. Wakati wako uko njiani π€£π€£π€£Simuoni hata aje ndotoni nimzoom πππ
Haya mambo ni kuyaacha tu .
Depression siwezi pata hahahahaUsiyaache because utaishia kwenye kupata depression tu. Wakati wako uko njiani π€£π€£π€£
Kuna bata hatagood....
bata la weekend linasemaje
Hapana bhana ume experience lakini bado haujawa Strong bado Huwa unavunjika moyo sometimes π€£π€£π€£Depression siwezi pata hahahaha
Nishaexperience before na nimeweza .
Thank you .
Uweke bila ua tafadhaliBaadae ntakuwekeaaa mwenyejii [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
namimi nipo nipo tu naangalia ceiling boardKuna bata hata
Nipo zangu tu nimechill
Vipi wewe ?
You're right , naisemea ile ya kukaa niwaze na kulia duh hapana .Hapana bhana ume experience lakini bado haujawa Strong bado Huwa unavunjika moyo sometimes π€£π€£π€£
Hauna movie hata usogezee masaa mbele .namimi nipo nipo tu naangalia ceiling board
au sio relationship expertπHapana bhana ume experience lakini bado haujawa Strong bado Huwa unavunjika moyo sometimes π€£π€£π€£
Ofcouse naweza nikahisi jinsi vile unajisikia. πYou're right , naisemea ile ya kukaa niwaze na kulia duh hapana .
sina hata mood nazo...Hauna movie hata usogezee masaa mbele .
Mwanasaikolojia Mbobevu. π€£π€£π€£au sio relationship expertπ
Huyu Bibie yupo bored π΄ sana yaani though Kuna mambo fulani yenye kuvunja moyo ameyapitia Sasa bado haja gain momentum kabisa. πππsina hata mood nazo...
ila sio mbaya wanasema kuboeka mara mojamoja inasaidia unazoea ugumu wa maisha
hii si science fiction kabisa mzee wanguπTelepathy
Nishazoea actuallyOfcouse naweza nikahisi jinsi vile unajisikia. π
hii si science fiction kabisa mzee wanguπ
It applies kwenye mambo nyingi sana ikiwemo hisia zetu sie binadamuhii si science fiction kabisa mzee wanguπ
Weka nyimbo usikilize hapo uburudike kidogo ,sina hata mood nazo...
ila sio mbaya wanasema kuboeka mara mojamoja inasaidia unazoea ugumu wa maisha
Ofcouse umeshazoea but how do you overcome that condition?Nishazoea actually
πππ
Its a normal thing .