Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanafunzi nyinyi mnaringa saana mpo kwenye Boda bado mnataka kuchart na wabebez zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua likizo, ilikua Songea town, ali overtake kumbe mbele lory LA makaa ya mawe linakuja mkuku mkuku, ilibidi tupishie mtaron, sema sikuumia, nkampa hela yake nkasubiri bajaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbwa yulee, lile lory lingetuvaa si kila kiungo kinakaa kwakee, woiiiiiih
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekesheee, kuna boda nusu aniwahishe aridhini kisa upumbavu wake wa kutaka kuwahi. Lol

Mbna alinishusha kwa lazimaa. Sitakii kabisaa
Mimi boda huwa namwambia kabisa kuwa kimbia ila kwenye taa usikatize kama hazijaruhusu

Vilema tayari ninavyo vya kutosha aisee.

Kwanza huwa napanda mara mojamoja sana nikishachelewa.

Kwa kweli bodaboda wa miaka hii sijui ndo kuvurugwa na maisha..
Hajali kabisa usalama wake.
 
Wanavuta ugoro sijui na Bhangi SASA wakiwa kwenye Boda Ile spidi wao hawaioni kabisaaa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cocastic

Pls one day take me to Songea. Natamani saana nipate sababu ya kwenda songea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…