Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajua sana ni wapi 😁😁😁

Tena unaweza kuta we ndio ulikua unapita pita mbele ya camera yangu baada yakutoka kuangalia πŸ’ πŸ™ˆ
Sijatokea pande hizo kitambo sana aisee 🀣🀣🀣Nimependa hiyo sun downer aisee wewe ni Phhoographer , umenikumbusha kwenye ule uzi wa Photographer Corner wa yule Member alikuwa anatambulika kwa jina la Equilypz. Sijui yuko sikuhizi
 
Kupatwa kwa Aaliyyah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Believe my Words, Kikubwa ni uzima tu. Tunasongesha harakati kimya kimya. Halafu ingependeza wewe ukawa ni mtu wa PR lakini na wewe Unasomea Ma Course magumu magumu 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…