Selfika na JF: Snap it. Show it

We tulia ntakuonyesha.
Chamsingi nguo ya juu iwe loose sehemu ya mabega.
Mtu labda aanze kukusachi ndio atagundua, ambapo kama style aliyoibiwa Lenie mwizi wake asingeambulia chochote!!!!

Huyo mkaka ilibidi umtoe lunch kabisa!!!🤩
 
Dah
Nasubiri kuona,. Maana hivi hivi sitaelewa.

Yule mkaka nilishuka kituo cha kati nikamwacha kwa hiace.
Kuna watu ni wema jamani ☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…