Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo mkaka alikua mstaarabu.
Yaani unaweka simu mfuko wa nyuma wa jeans? Tena Arusha?
Ulikua unajiona uko Ulaya eeh😂
 
🤩🤩🤩

Hii inafaa sana maana kampango kakuanzisha shamba ni ndoto inayojirudia rudia.😊
😂 nina ya kuku pia
Ukitaka ni shwaaa, uko na soft copy uhangaike nazo.

Naspend muda mwingi na wakulima& wafugaji, lakini sina hata robo eka ya mahindi 😄
 
Pole saana, tumia wale wa mitandao, hawa boda wa mtaani wakati mwingine wanashirikiana na wezi, unaweza kumwona kama vile hajui kumbe ni kati yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa
Bodaboda wa bolt wengi ni wastaarabu.
Hawa wengine ndo vibaka wenyewe.. anajidai haelewi kumbe ndo wanapeana assist hivyo [emoji23]
Na anaenda kukuchomeka mazingira ambayo anajua kabisa watakupora vizuri.
 
We tulia ntakuonyesha.
Chamsingi nguo ya juu iwe loose sehemu ya mabega.
Mtu labda aanze kukusachi ndio atagundua, ambapo kama style aliyoibiwa Lenie mwizi wake asingeambulia chochote!!!!

Huyo mkaka ilibidi umtoe lunch kabisa!!!🤩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…