[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. [emoji23]
Doh pole sana shem darlingna wanngenibikiri 😄😄
Ile njia ina giza, haina taa za barabarani na magari sio mengi.
Yan acha 🤣
Kesho nikimuona boda wangu nitamche
Tucheke tu upya
Kawaidaaa mbona[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Shukrani Mazziyahh
Hao boda wamechanganyikiwa au [emoji1787] mna practice kuiba!!
🤣😂😂 used kama laki 9 hiviIkienda tunanuna nyingine tena, kwani sh ngapi
Shem darling si unae, hatakubali uteseka Jack Palladino
🤣🤣 khaaaaKawaidaaa mbona[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
AmenusurikaKaibiwa simu?
Na Mimi tena ? 🤔Shukrani Mazziyahh
Hao boda wamechanganyikiwa au 🤣 mna practice kuiba!!
NIlishaweka oda ya new iphone 14 daah😊Amenusurika
Everything happened for a reasonDaahh...pole Sana jioni Bora kutopanda boda kisualama Zaidi maana ni hatari Sana waweza jikuta unapata athari Hapo wangewadondosha sijui ingekuaje
Kwa style hii sister ninaye😍😍, DepalSanaa 🤣🤣🤣
Boda anashangaa why sibabaiki
Ye amebabaika mno, anasema yeye hajawahi shuhudia hao 3 mzuka kwa macho.
Kwanza ikifika saa 12 uwa anaenda nyumbani. Sasa mie leo nilimkaliza mjini mpk saa 1.
Tumefika home, nimeshuka natoa funguo nifungue gate. Anasema siondoki mpk uingie ndani 😂😂
Inabidi nicancel sasa😀Depal si nilikwambia😅
Naona umeweka mtego
Unaona raha ya kupita JKT, ungekua lege lege kama ma slay qeen wangeiba mkoba?🙂🤣🤣 khaaaa
Haya ni mapya aisee
Noooo wacha tu ije, just in case....Inabidi nicancel sasa😀
Wahuni tutakuwa tunakusubiri, na boda zetu😂😂NIlishaweka oda ya new iphone 14 daah😊
Just in case akiibiwa eeh😀Noooo wacha tu ije, just in case....
Daah Wanawake😂😂😂Noooo wacha tu ije, just in case....
Wahuni sio watu.wazuri kabisa😅Wahuni tutakuwa tunakusubiri, na boda zetu😂😂