Mmmh wee ndo kupotea hivyoo??miss you too ,
Nina wa kunificha kabisa
Nipo tu dear .
We ni mwehu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unapenda eeh, ntakuwa naweka kwa ajiri yako, ufurahi mwenyewee.
DrMuondoke nipumzike!!!!!
Heheehee niombee mamaMmmh wee ndo kupotea hivyoo??
Nkajisemea Dear kapata G wake, wameamua waka enjoy huko mbali
Katusahau na selfika [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwehu ndo anaekupa ahueni hapa JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni mwehu..
Usijari utapata na utadekaa had baas dear.Heheehee niombee mama
Nimpate na mie wangu , nideke hadi raha
Umemuona Saido janaHata ucjar yatamfikiaa.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
For the first niwe nipate baby maana zamqni nilikuwa kwenye mahusiano peke yanguUsijari utapata na utadekaa had baas dear.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua nafuatilia zile tuzo jana, saidoo mzuri sema mfupi na umbo kidg. Ila vingne yuko fresh kwa matumizi ya binadamu.Umemuona Saido jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapataa usijar dearFor the first niwe nipate baby maana zamqni nilikuwa kwenye mahusiano peke yangu
Kumbe wapenda warefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua nafuatilia zile tuzo jana, saidoo mzuri sema mfupi na umbo kidg. Ila vingne yuko fresh kwa matumizi ya binadamu.
Alipendezaaa
Hizi laana hizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua nafuatilia zile tuzo jana, saidoo mzuri sema mfupi na umbo kidg. Ila vingne yuko fresh kwa matumizi ya binadamu.
Alipendezaaa
Amen kipenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapataa usijar dear
Kwanza dental formula iko vyediiii,Kumbe wapenda warefu
Alipendeza sana halafu ana smile fulani nzuri .
Haya relaaaaax sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi laana hizi.
Kwenu wana hasara wallahKwanza dental formula iko vyediiii,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie type zangu km kanoutee, uwiiiih
Kanoute ana athletic body aiseeKwanza dental formula iko vyediiii,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie type zangu km kanoutee, uwiiiih
Ni wachache sana wenye uwezo na moyo wa kusaidia wengineAmina mtumishi🙏🙏
Watu wa fb comments zao ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa dear si muonekano wa nje ndo unaanza kukuvutia kwan au?Kanoute ana athletic body aisee
Hivi ukipenda mtu kuna kuangalia body size kweli ?