cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Kwa lipi? 😂 😂 😂 😂 Kila saa tunagongana miguu 😂😂😂😂Mimi ujanimis sawa
Mimi je?Miss u too mrembo Dahan
Ata kwakukufurahisha sawa bhnaKwa lipi? 😂 😂 😂 😂 Kila saa tunagongana miguu 😂😂😂😂
Sikuwezi kabisa kula nyama nyamazaHaswaaa tena nililala fofofo.![]()
Wee thubutrruuuu😊😊!!Hukuti watu huku wanafwatiliana huku no uswahili uko kwingine wanapost miguu ya kuku na sungula uku watu wanatupia picha wakiwa kwenye kazi mtu kama huna kazi upo humu utataafuta kazi kwa nguvu tu 🤣
Santo sanaaa kichaa akee Inapendeza sana ✌️✌️✌️!!Mi na Mwachiluwi ni mabestie for life, tuna Juana Sana💪
Dah wasalimie, us Alger🤣🤗Unatania mabingwa wa nchi?😅
Kila kona nakuona, Dahan hatujapishana popote miezi sasa. Halafu sijamiss sausage na mayai mawili...Mimi je?
We utakua unatokea KinoMkuu kuna sehem nime Quote comment yako
Mbona mnapenda ugomvi sisi wengine watoto wa padri
Mathew 6:15
Acha Tuishi humohumoooooo tuone mwisho wake kipenzeee!!selfika inafurahishaa kwa kweliiii.
Kwann lakinii??
EeeKila kona nakuona, Dahan hatujapishana popote miezi sasa. Halafu sijamiss sausage na mayai mawili...
Ukiamua kujizima data sasa kweli wee kichaa😊😊😊😁!!Yupi huyo, au ex pendwa wa jf Bantu Lady 🙄 (joking)
Acha Tuishi humohumoooooo tuone mwisho wake kipenzeee!!




tutembeea na beat au sio?? Selfika ina heka heka mnooo. Yaan full manjegekaaaa, woiiiiiiihMfyyuuu na USM Alger yakoo ya figisu😏😏😏Dah wasalimie, us Alger🤣🤗
Nah, it's look like someone took it quite personal.Ukiamua kujizima data sasa kweli wee kichaa😊😊😊😁!!
Dah we jomba🤣😂, una piga spana na misumeno double double🤔We utakua unatokea Kino
Pamoja Sana kichaa akee ✌️✌️✌️!Nah, it's look like someone took it quite personal.
👉Ila nili refer kuhusu utani fulani, kule if usiku wa manane.
👉 I mean no malice to nobody, that will always my treat intelli
You never know the product, till you open the package.Jina like fake ila mfano kama wewe unataarifa gani ya nyeti ya kutishia usalam wa taifa 😄😄😄