Yeah,ila ni kweli huwa inakuwa tofautiUkiona mwandiko wangu lazima ukalazwe aisee....mda mwingine hata mimi siwezi kuusoma,sasa huo ndio wakiume.
Wakike mnaumba herufu kama zilivyo mbwembwe nyingii....weka uno hilo uzi uchafuke huu
Yeah,ila ni kweli huwa inakuwa tofauti
Hebu ngoja nifunge PM kwanza halafu nitupie uno
Wana balaa sana binadamu
Hahahahh being fake doesn't mean sihitaji marafiki....tunaweza kuwa marafiki humu humu tu ...haipo nafasi ya meeting
Hahah okay...anyway it's what it's
Kwa sisi wengine life aint bout a small circle of being only in one place, knowing same peeps forever, hiding in em cocoons blaah blaah blaah...
If meeting new peeps would take me to the next level, hell yeah lets freakin meet...fate will fuckn decide the rest
Ukiona mwandiko wangu lazima ukalazwe aisee....mda mwingine hata mimi siwezi kuusoma,sasa huo ndio wakiume.
Wakike mnaumba herufu kama zilivyo mbwembwe nyingii....weka uno hilo uzi uchafuke huu
haki majibu yako huwa yananifurahisha mno aise
Hahah huyo ndo Jo...one of the coolest soul in here
Naunga mguu hoja.Hahahahh being fake doesn't mean sihitaji marafiki....tunaweza kuwa marafiki humu humu tu ...haipo nafasi ya meeting
Mmhh kuna mkaka nilisoma naye alikuwa ana muandiko mzuri jamani hasa akiandikia black pen karatasi inakuwa kama imetolewa copy vile,, hadi nikawa namuomba awe anaandikia black pen tu..
Sijui wadada wa siku hizi wanakwama wapi wanaangalia madolari tuMmhh kuna mkaka nilisoma naye alikuwa ana muandiko mzuri jamani hasa akiandikia black pen karatasi inakuwa kama imetolewa copy vile,, hadi nikawa namuomba awe anaandikia black pen tu..
mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya na waonja sumu kaja sasaNaunga mguu hoja.
Naunga mguu hoja.
Mwandiko una uhusiano na namna mtu anafikiri, muda anaotumia kufikiri na hatimaye kuamua...
Ukisoma soma makala za watu wanaopenda fanya research za human behavior, wanakwambia watu wanaoandika haraka(mwandiko mvurugo), wana uwezo mkubwa wa kufikiria na kuamua....
Halafu wale wanaoandika taratibu na kutumia muda mrefu kuumba herufi, eti hata namna yao ya kutafakari ipo taratibu, huchukuwa muda kufanya maamuzi
Hahaha always you've been real in here...mi sinaga shida na hilo kwako...haijalishi uko jinsia ipi
Kipindi hicho unaweza kukuta ulimpendea mwandikoSijui wadada wa siku hizi wanakwama wapi wanaangalia madolari tu
Naunga mguu hoja.