Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
[emoji4]
Njombe moja hii mitaa ya kihesa [emoji23][emoji23]It's getting colder..
View attachment 2651032
Oyaaa.. umejuaje? Nipo hapa shule ya Kilimani bro. Tunacheki Maji. Oyaaa umetishaa.. dah.Njombe moja hii mitaa ya kihesa [emoji23][emoji23]
Unaongeza wa pili?Nime mpa kazi shangazi ya anitafutie mke uko kijijini uko sio hapa mjini
Njombe moja mkali. Leo joto inasoma 19 degrees.Iringaa hii bro
Mtaa wetu huo boss kihesa lazima niujue kwa angle zote karibu SanaOyaaa.. umejuaje? Nipo hapa shule ya Kilimani bro. Tunacheki Maji. Oyaaa umetishaa.. dah.
Unyama sana mzee. Sema baridi afadhali imepoa poa kidogo.Mtaa wetu huo boss kihesa lazima niujue kwa angle zote karibu Sana
Kwamba wa kijijini ndo habadiliki eehNime mpa kazi shangazi ya anitafutie mke uko kijijini uko sio hapa mjini
Chief mzee wa mashangaziBoss tajiri
Blauzi kama blauziShati km blauzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu kavueee nawee, unaniabishaa bhanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, hata mie naonaaa.Blauzi kama blauzi
Kitu naked kabisa
Sivui leo nimeamua nashusha nyingine
Hiyo blauzi nilinunua pesa mingi sana arifu
Tayana-wog kama Tayana😍Boss
My people
I declare blessings over you IJNView attachment 2651108
Toto la kingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, hata mie naonaaa.
Hebu nipe vocha, unaongeajee na mie kikavu kavu hivyoo??Toto la kingoni
Upcoming Engineer
Mtoto mwenye kiuno dondora[emoji7]
It's getting colder..
View attachment 2651032
Tayana-wog kama Tayana[emoji7]
Nampa heshima zoteMuheshimu shemeji yako huyo
Weka namba hapa chapHebu nipe vocha, unaongeajee na mie kikavu kavu hivyoo??
Hujui kujiongezaa wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kuweka unapajua,Weka namba hapa chap
Upate muamala