Tushavuna huko...unasema je sasa mamii?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1273784
Sijui kama kuna bachela hajawi korofisha hii mamboUbachela kazi kweliView attachment 1273783
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba tukalewe wapi au??
Hahah simu linameza mkadi wote utadhani unataka kutoa hela ATM vile...
Halafu kuongea lazima ufungue kibaraza(kimfuniko cha kukinga mawimbi) na unyooshe antenna hivi...
Atoto hapa alikuwa anafutwa kamasi tu huko Tunduru ndani ndani karibu na Msumbiji [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Upo vizuriusiku mwemaView attachment 1273787
Unafanya nn huku?Angalia sasa umeona hayo mavitu😀😀😀Khaaa
Sijui kama kuna bachela hajawi korofisha hii mambo
Diih
[emoji23][emoji23]ndio ndio