Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,132
Yaaah yaaah alikua rahisi wa iraq...sadam hussein ni mwanasiasa??
Ooooh alinyongwa aiseeee
Yaaah yaaah alikua rahisi wa iraq...sadam hussein ni mwanasiasa??
Kombe limebakii uarabunii, hilo tyuuh sisi rohooo kwatuuuuuSibishani na watu ambao hawana medali na hawajafika fainali![]()







duh, siasa hua zinanichanganya 😅Yaaah yaaah alikua rahisi wa iraq...
Ooooh alinyongwa aiseeee
Sikiliza nyimbo ya roma "*nipeni maua yangu...😂😂😂😂duh, siasa hua zinanichanganya 😅
Shekpeee 🤔, he was tour future husband 😂😂😂😂sadam hussein ni mwanasiasa??
Ni mida yangu ya kazi mkuuBro Jack Palladino Ume like post yangu saa 10 usiku🤔🤔, ndo uli rejea kutoka kuwanga nini😂😂😂
👉 mshamba_hachekwi, Poor Brain
Gud boss, naona wewe umeshavuka ile 5-am club😂😂😂Ni mida yangu ya kazi mkuu
Victory hour!Gud boss, naona wewe umeshavuka ile 5-am club😂😂😂
Sawa bro, ukipata deal utupe vijana Sasa Jack Palladino 💪Victory hour!
Sawa kijanaSawa bro, ukipata deal utupe vijana Sasa Jack Palladino 💪
Pamoja bossSawa kijana
Pozi makini sana hili😊
Pozi la kukimbiza kazi twende Kazimoto!☺️Pozi makini sana hili😊