Selfika na JF: Snap it. Show it

Mfyuuuuu...[emoji89][emoji89][emoji89]
"Kumbe sikuhizi wachawi sio wazeeee"
Juzi Makolo mlitaka kufaaaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mpira ulivyoishaa nilirukaaa kwa furahaa mnooo.

Awee Utopoloo mje na kombee, tungepumuaa??
Safii sanaaaa.
 
😅😅😅 usiogope shangazi yangu mzuri usie na baya.. namaanisha watu ambao walinivutia kwenye career flani.. na niliwish siku moja niwe hata hatua zao.. ila walikuwa wanaishi kubaya kubaya..
Muone 🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu nikapate coffee ☕ with cocolate cake mida hii...
#Baridi
 
Mie baadaeee ntakubless, waja mpate LA kuongeaaa.
Usisahau kunitag udugu akee

Ya waja waachie wenyewe as Long as hayakupunguzii wala kukuongezea kituuuu!!
Uzuri weee sio mgeni na wajaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mpira ulivyoishaa nilirukaaa kwa furahaa mnooo.

Awee Utopoloo mje na kombee, tungepumuaa??
Safii sanaaaa.
Nasemaaaajeeeeee nasemajee

mchawi si lazima arogeee 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️,

Makolo mtakufa kibuduuuuuu....sio kwa kukesha kwa waganga vileer👽👽👽
 
Usisahau kunitag udugu akee

Ya waja waachie wenyewe as Long as hayakupunguzii wala kukuongezea kituuuu!!
Uzuri weee sio mgeni na wajaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ninawatesaa balaaaaa
 
Nasemaaaajeeeeee nasemajee

mchawi si lazima arogeee [emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788],

Makolo mtakufa kibuduuuuuu....sio kwa kukesha kwa waganga vileer[emoji89][emoji89][emoji89]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtuacheeee makoloooooo tuburudikeeeeee sie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…