Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,794
- 58,425
Hapana siwezi wakati yeye ndo ticha wangu wa haya mambo yaani mii nampa salout Intelligent businessman maana bila yeye kunipa swaga hata nisinge mpata mtoto mzuri ๐คUnamtongezea??
Mwambie aje abanane hapahapa na Hawa wangu wanne mshindi atatangazwa kanisani au msikitini ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃatabeba kombelake wengine watarudi na medali Kama Yanga ๐คฃ๐คฃSawa utoto ila ni hivo huyu Intelligent businessman ninamfahamu fika... Akipenda anapenda vibaya mnooo๐๐๐๐
we jamaa mswahili ๐Aaliyyah
usiwasikilize Poor Brain na mshamba_hachekwi
wanafiki wanafiki
Wazee wa kuwa pakazia
Yasio wahusu wanna ingilia
Maneno yao ni Kama ya Simba
Ukiya sikiliza, lazima yata kuingia๐
๐๐DahNifanye Kama mtoto, uninyonyeshe Sasa๐๐๐
Huyu mwamba kawa certified na EC-Council lazima yuko good sana katika mambo za cybersecurityNipo napitia pitia profile View attachment 2646386View attachment 2646387
Bro Jack Palladino wanasema alone you can achieve great, but together we can make wonders๐๐๐Hayo maneno ni bora uongee mwenyewe!
Ni wako huyo na mi tahakikisha mnafika mbali aiseeee... Aaliyyah kiufupi chibaba umepata hapa si unaona mambo hayo ๐๐๐๐๐Jeshi la mtu mmoja, ninavyo jisikiaje Baada ya kuambiwa Aaliyyah Ni wanguView attachment 2646956
Sio na hao vijana๐Bro Jack Palladino wanasema alone you can achieve great, but together we can make wonders๐๐๐
Kuna watu walijaribu kugombanisha hapa ila washafeli mkuu ๐ค๐ค๐Bro Jack Palladino wanasema alone you can achieve great, but together we can make wonders๐๐๐
Mh hicho kiumbee sio powa๐ช๐ช๐ช๐ชHuyu mwamba kawa certified na EC-Council lazima yuko good sana katika mambo za cybersecurity
Mkeka unauza
Bro kuna mazingira kwenye maisha usiwe na adui au rafiki wa kudumu๐๐๐Sio na hao vijana๐
Very true, but you should both have the same vision otherwise watakupoteza.Bro kuna mazingira kwenye maisha usiwe na adui au rafiki wa kudumu๐๐๐
Ndo mana anaswitch tu kutoka corporation moja kwenda nyingine ๐Mh hicho kiumbee sio powa๐ช๐ช๐ช๐ช
๐คฃ๐คฃ๐คฃJeshi la mtu mmoja, ninavyo jisikiaje Baada ya kuambiwa Aaliyyah Ni wanguView attachment 2646956
Kaka Jack Palladino Usha kisoma kile kitabu Cha 48 laws of power ??? By R.greeneVery true, but you should both have the same vision otherwise watakupoteza.
Naimani atashinda huyu Intelligent businessman ni smart.. pia ni mkaka ambaye anajiheshimu licha ya hivoMwambie aje abanane hapahapa na Hawa wangu wanne mshindi atatangazwa kanisani au msikitini ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃatabeba kombelake wengine watarudi na medali Kama Yanga ๐คฃ๐คฃ
Sema Raha ya teknolojia, we una boresha- Kuna wahuni wanna kulia Rada๐๐๐.Ndo mana anaswitch tu kutoka corporation moja kwenda nyingine ๐
Uwa sipendelei sana kusoma vitabu vya aina hiyo. Naamini sana kwenye maono yangu, pia njia alizopitia nwingine kufanikiwa haziwezi kuwa sawa na zangu!Kaka Jack Palladino Usha kisoma kile kitabu Cha 48 laws of power ??? By R.greene
๐Hapa tuna viziana tu๐๐