Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wananitafuta wapiii?? Mtaani au hapaa kwa keyboard? Waambie waanze hata sahivi maana km wanasubiri niingie ktk 18 zao, km wamesimama bas watandike jamvi wakaee.

Sasa mie wa kuniogopeshaa hao watu? Vilikua vikundii na vilishindwaa, watu walipambana na mie na nkawashinda hadi kuomba niondolewee JF, POLL iliwekwaa nkaondolewa kwa muda na nkarudishwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa JF hii badoo sanaa wa kunitafuta etii niingie kwenye 18 zakee? Naweza kuingia na hakuna kitu atafanyaaa.

Wapeee salamuu, Coca bado yupooo sanaaaaaa.
Ahahahhahah be care lakini be care sanaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mana nilijaribu kukutetea nikaishia kupata maneno mazito ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hadi nimechekaaa eti coca wa kuogopeshwaa na watu walio kwa keyboard? Km wao wanayaweza na wana sababu za kuniparua kwann wasianzee hadi wasubiri niingie kwa 18 zao.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshindwa kudambukaa kimya kimya huko kwenye PM zao uchwaraa, wana amua kujitokezaa wazi wazi sasa. Mie nipoo na nina wasubiriii niwapeee kile wanachostahili.

Woiiiiiiiiiiih
"Kudambukaaa" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
coca mbavoooo zangooooo hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa ujuee๐Ÿคฃ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
 
Hamna chuki mpendwa๐Ÿ™๐Ÿ™, Jamaa ana fanya utani tu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Alokupa ilo jina la majaribibi akome๐Ÿคฃ
Mpwaaaaa!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

Dokta mwambie namsalimia japo ananikwepa siku hizi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Akizubaa jimbo twajitwalia!

Screenshot_20230605_112755_Instagram Lite.jpg
 
Hiv kunawatu kabisa wanatafuta undani wa mtu kweli Kwan kilamtu anatumia chake ugomvi wa nn[emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaaa na coca shangaziiiii, hawanywi maji yakakata kiu, hawali wakashibaaa kisa coca.

Kilaa waionapo hii ID wanapatwa na dege dege LA ukubwaniiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Degedege la ukubwani bwahahahaha๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคฃ
 
"Kudambukaaa" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
coca mbavoooo zangooooo hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa ujuee๐Ÿคฃ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
Alikuwa ana Tania tu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™, hamna chuki
 
Poor Brain Hebu ona hi, Afu Aaliyyah kina Cha maji hakipimwi kwa kidole๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Usije kufa wewe aalaaaaah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kaangalie vile hata aibu akaoni na jua lote ili unaleta habari za ajabu kijana wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mungu hakutaka migogoro akampa kilamtu Mali yake awe na yake Yani mm yangu ni yangu Mwenyewee naitumia nipendavyo Sijapenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziiii umechachukaaa vibayaa mnooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo Dar ishakushandua kiasi hikii.
 
Maisha mafupi mno kuwaza mambo ya mtu mwingine kiukweli tuishi tu mm mtu unawaza utapataje Hela kumbe kunamtu anakuwaza umenyanduliwa vingapi usiku ulopita mvurugano kabisa aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tuishi tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nyiee mnaniuaa mbavuuu memeeee hukuu mjueeee!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ!!
Walai mmenishinda tabiaaaa mnataka kuniua kwa kichekooo walahiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!

Mie nyani mzeee humuuu kuna vitu humu naangalia na kujichekea ka fwalaaa fulani tyyu nhiiiiiiiinhiiii๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom