Wanao mjua intelli wa sasa, wanaelewa kuwa huwa natoa kitu kilicho Bora kutoka ndani yangu🤗
👉 Kama hauwezi niamini, kwa kila Ninacho fanya. Basi siwezi endelea kupanda mbegu kwenye mlima🤨😑 Antonnia - nime tafasiri🤗
Hebu nitonyeee ankoliiii, vawulencee hadi kwanguu?? Vibayaa hivyooo nishtuee na miee.
Kuna mtu niliwahi kaa nae yeye aliwahi kuwa Voda makao makuu, alisema kuna mtonyoo balaa.
acha nae nae huyoo, asi msumbue mdogo wangu kipenziii Lovelovie .. akwendeee zake. mapenzi niliyonayo kwa mdogo wangu yana mtoshaa kilaaa kituuu anapataaaa 😅😅😅