Selfika na JF: Snap it. Show it

Sorry lakini, hivi unaendaje chooni na hizo kucha[emoji849][emoji849][emoji23] mshamba_hachekwi

Usijali!!

Tunashika toilet paper tunajifuta

tunachukua maji tunajisafisha.

tunachukua sabuni tunanawa.

tunakausha mkono.

tunamalizia hand lotion.


Au mwenzetu unashikaga uchafu na mikono uwiii ndo maana sipendagi kushikana mikono hovyo na watu!
 
Usijali!!

Tunashika toilet paper tunajifuta

tunachukua maji tunajisafisha.

tunachukua sabuni tunanawa.

tunakausha mkono.

tunamalizia hand lotion.


Au mwenzetu unashikaga uchafu na mikono uwiii ndo maana sipendagi kushikana mikono hovyo na watu!
Na mikucha hiyo😂😂, siwezi kula. Au nakufua utasema unatumia washing machine 🤔😂😂
 
Na mikucha hiyo[emoji23][emoji23], siwezi kula. Au nakufua utasema unatumia washing machine [emoji848][emoji23][emoji23]

sasa kama huwezi kula ni wewe hiyo ni shida yako wewe sio mimi[emoji1787][emoji1787]ambayo hainihusu ila Uma na vijiko vimejaa!

Nifue?? nitafute hela kwa tabu halafu nifue? hapana nilifua utotoni inatosha! Wadada wapo Mpenzi na kama Washing Machine ipo why niteseke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…