πππ ukiwaenzi nakufikiriaNauliza haujatuma Sasaπ€π€, au unataka niwaenzi manabii na mitume wa zamani. Walitembea kutoka misri Hadi Israeliππ
Ww nicheke tyπ€£
Mzee ushaanza safari?Ww nicheke ty
Si useme tu umeshatumia asilimia 75 za bando lakonapita pita tu mkuu jf leo imepoaπ hakuna hot topicsπ
hatukasiriki bali tuna mashaka πUnaona Sasaπ€π€, Afu nikianzisha Uzi wa kumsifia Lovelovie. Wewe na Poor Brain mnakasirikaππ
Ukinikalia kooni naharibu kazi mapema asubuhi ππππ
Ntakusimamia kooni mpaka ufanye ili tu uachane na mimi. π€£π€£
She no longer give a hell about meππ€¨πkijana huyo mtunzeer yale yote uliyofundishwa unyagonii mpeee umnyooshe hata nje asiangalie tenaa mdogo wangu π π
Mashaka yapiππhatukasiriki bali tuna mashaka π
hebu badilisha mada kila saa mapenzi πMashaka yapiππ
Kimekubali... Au ukute mambo ya kuchomeka vibaya Cable ππππ!Zima kishikwambi, alafu chomeka charger yake
Basi kitakuwa imekufa port ya simu, Hebu jaribu chaji nyingine. Ikigoma. nenda kwa fundi Ni 5000 au kajichekeshe elfu 3ππMie nilikua mizungukoni ni Kwamba Wametumia chaja ya simu yangu kuchajia kishwambi kuja kuweka chaja yake imegoma kupeleka hata hio chaja ya simu pia ilikua haipeleki!!
Halafu bado unaniita chiziππππKimekubali... Au ukute mambo ya kuchomeka vibaya Cable ππππ!
Kweli Ushamba mzigoππ
Mimi niko poa jana thijakuona hapa kabisaUdugu kithembe niaje π€£
fanya namnaaa unilipe sasaaa shangazi yanguu mzuriio weyeeee hakuna mfaaano yani πππKimekubali... Au ukute mambo ya kuchomeka vibaya Cable ππππ!
Kweli Ushamba mzigoππ