Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Inaeza haribu kile kidude ambapo unachomekea chaja. Ila test USB nyingine kwanzaWajuvi hivi kishwambi ukichajia chaja ya simu ya kawaida kinaharibika???
Madogo wamechajia chaja ya kimeo changu asee Saivi nikichajia chaja yake haipeleki wala kuonesha kama inaingiza chaji...nikifanyeje?? National Anthem Intelligent businessman na wengine!
Hapana chaja yake nilikua nayo mie sasa wao niliwapa wachezee magemu chaji ikaisha si wakachikua chaja ya simu yangu wakachajia kishwambi nimerudi ndo naweka chaja yake inagoma kupeleka!Hakiingizi charge tena ? au madogo wameharibu hiyo charger
kishwakwambi chenyewe kinawaka au kimezima ? isije kuwa walilazimisha kuingiza charge wakaharibu port yake ya kuingizia umemeHapana chaja yake nilikua nayo mie sasa wao niliwapa wachezee magemu chaji ikaisha si wakachikua chaja ya simu yangu wakachajia kishwambi nimerudi ndo naweka chaja yake inagoma kupeleka!
Uliwapa simu yako??na chaji au. Walitumia chaja nyingine kuchajia simu yako??😂😂🤔Hapana chaja yake nilikua nayo mie sasa wao niliwapa wachezee magemu chaji ikaisha si wakachikua chaja ya simu yangu wakachajia kishwambi nimerudi ndo naweka chaja yake inagoma kupeleka!
nitazitafuta niziangalie hizoHiyo Cha mtoto, Kuna ile kakabidhiwa mtoto amlee Baada ya kutoka jelaa😂😂, au ile ya sherehe ya Halloween😂😂
napita pita tu mkuu jf leo imepoa😂 hakuna hot topics😂We mnafiki wa karne mshamba_hachekwi mbona una nifata fata🤔🤔. Au nimwite Gily akupasue😂😂
Mie nilikua mizungukoni ni Kwamba Wametumia chaja ya simu yangu kuchajia kishwambi kuja kuweka chaja yake imegoma kupeleka hata hio chaja ya simu pia ilikua haipeleki!!Uliwapa simu yako??na chaji au. Walitumia chaja nyingine kuchajia simu yako??😂😂🤔
kijana huyo mtunzeer yale yote uliyofundishwa unyagonii mpeee umnyooshe hata nje asiangalie tenaa mdogo wangu 😅😅Ndo.huo unaimbwa tululuuu tutuluuuh
kishwakwmbi kinawaka ?Mie nilikua mizungukoni ni Kwamba Wametumia chaja ya simu yangu kuchajia kishwambi kuja kuweka chaja yake imegoma kupeleka hata hio chaja ya simu pia ilikua haipeleki!!
Unaona Sasa🤔🤔, Afu nikianzisha Uzi wa kumsifia Lovelovie. Wewe na Poor Brain mnakasirika😂😂napita pita tu mkuu jf leo imepoa😂 hakuna hot topics😂
Kinawaka ndio ila chaji haiingii!kishwakwmbi kinawaka ?
Kumbe anamuogopa Gily😅We mnafiki wa karne mshamba_hachekwi mbona una nifata fata🤔🤔. Au nimwite Gily akupasue😂😂
Mimi tena mkuu wakati mi ni moongoni mwa watu naofurahia uhusiano wako na huyo bintie..Unaona Sasa🤔🤔, Afu nikianzisha Uzi wa kumsifia Lovelovie. Wewe na Poor Brain mnakasirika😂😂
"Tululuu tululuuuh,"😊😊😁!!Ndo.huo unaimbwa tululuuu tutuluuuh
😄😄 muulizeYupo branch gani?😅
Aone lipensiIli uone nini?🤔
Zima kishikwambi, alafu chomeka charger yakeKinawaka ndio ila chaji haiingii!