Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaenda kesho mchanaa dear.
Mie na G hatuachaniiii [emoji8][emoji8][emoji8]
Aiseee pendaneni hivyo
love is a beautiful thing , sijui alikuwa wapi sikuzote kaja kusema mwaka wa mwisho .

sijawahi kuwa na mahusiano shuleni/chuo but nahisi raha kuwa na mtu ukiingia darasani unqmuona baby yule unasmile huyo unaenda kuketi .
 
Kilivhojiri Sasa πŸ˜€ zitafunikwa had ziombe msamaha kunamtu kanishauri kesho nitembee hivhiv mjiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yes dear ziachie hata mara moja ..
misuko hiyo mizuri ,nywele hazichomi hata .
no kubana ni kuvaa na kusepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…