Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzz hebu relaaaaaxxx kwani, kwa mpira gani mlonaooo wa kubadili matokeo kuleeeeee???

Thubutuuuuuuuuu
 

Udugu unapenda kashikashi kwahiyo Madenge [emoji1787][emoji1787] emu subiri kwanza, unajua coco nilimchamba mgauni wake wa harusi mbaya km wa kupokelea kipaimara akanitia padlock

Ngoja nipite kitaa hiko siku nyingi sijakatiza tutani napitwa na mengi [emoji12]
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… naona sasa utopolo mnajificha kwenye kivuli cha magoli ya Mayele

Hamwezi kupindua matokeo kwa Waarabu nasemaje hamuwezi niko pale nimekaa. Kule mnaenda kufa goli nyingi si chini ya nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…