Umekwenda kununua Ufuta nini huko?Nipo zangu kijijini uku mbeya galula sasa nimefika jion si ndo wenyeji wakajua nimefika nimeletewa ugal nimeona kama wananikomoa ase ugali wakula watu watatu nile mwenye dah π Lenie mshamba_hachekwi Jack Palladino Mjep leo nimepatikana
Hapana babu uku ndiko chimbuko letu ila hapa galula ndipo mama yangu kazaliwa ila ifuko ndiko baba kazaliwa ni vijiji jirani sanaUmekwenda kununua Ufuta nini huko?
Mwenyewe nilikuwa huko mwezi uliopita
Shuka na pale Mjele ukiweza, wanachoma mbuzi watamu sana pale
Kuna mwenyeji wangu alinionjesha hao nguruka siku moja, kutokea hapo nimekuwa mpenzi wa kula na kachumbarindio nawajua
ukikaa Morogoro lazima uwale nguruka ..
bwawa lile linasaambaza tu maji moro mjini .
maisha ya Morogoro safi sana , vyakula vingi mno .
Kumbe ndiyo kwenu, hongera sana.Hapana babu uku ndiko chimbuko letu ila hapa galula ndipo mama yangu kazaliwa ila ifuko ndiko baba kazaliwa ni vijiji jirani sana
Hawa viumbeKuna siku nilikuwa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere tukisubiri usafiri, kuna Dada msouth aliingia pale amejaa mno kwa umbo la kibantu [emoji119]
Tulikuwa na Wazungu pia mule ndani, walimtolea udenda sana yule Msouth, na mwenyewe akawa anajiachia mara aende kule mara pale ili mradi Watu wakose utulivu.
Nikawaza na tukio lako la kupotelea Kwa Madiba nikahisi umeshatekwa tayari [emoji2957][emoji2957]
Jikaze kijana!πNipo zangu kijijini uku mbeya galula sasa nimefika jion si ndo wenyeji wakajua nimefika nimeletewa ugal nimeona kama wananikomoa ase ugali wakula watu watatu nile mwenye dah π Lenie mshamba_hachekwi Jack Palladino Mjep leo nimepatikana
Hahaha......... Mzee wa kupambania akienda kule ndiyo atalowea kabisa, hatatamani kurudi Bongo tena π
Wewe nakujua umaliz uonugali wewJikaze kijana!π
Karibu san utanikuta hapa nipo nipoKumbe ndiyo kwenu, hongera sana.
Next week kuna mzigo nakuja kuchukua, kama utakuwa around nitakuona tukachome mbuzi pale Mjele
Poa, nitafika hapo Centre na nitakuchekiKaribu san utanikuta hapa nipo nipo
Ugali ndio msosi wangu, tatizo lako umezoea chips mayaiπWewe nakujua umaliz uonugali wew
Shida wewe baba umenilea kizungu sana πUgali ndio msosi wangu, tatizo lako umezoea chips mayaiπ
Karibu sanaPoa, nitafika hapo Centre na nitakucheki
Happy Borthday LishangaziLi Shangazi
45 years of age !!
Happy birthday to me!!
More years to come!!
ππππππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈUkikuwa utaacha ππ»ππ»ππ»πππππ
hbd mnywani!!Li Shangazi
45 years of age !!
Happy birthday to me!!
More years to come!!
Shame darling unaji mwaya mwaya!
Yeah pazuri sana, mandhari ya kuvutiaKuna mwenyeji wangu alinionjesha hao nguruka siku moja, kutokea hapo nimekuwa mpenzi wa kula na kachumbari
Kuhusu vyakula, Morogoro wapo vizuri. Kuna hadi Magimbi kule, so delicious
Happy birthday πLi Shangazi
45 years of age !!
Happy birthday to me!!
More years to come!!