Ongea na wenyeweji wa huko vizuri uonyeshwe zinapouzwa.πMimemiss sana hiyo kitu daahπ
Okra reduces stress,
Lowers the risk of cancer and heart diseases,
Is a rich source of folate,
Miss you too kivuruge. Ukuje ukujeeeeeInbox itakujiaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumic mnooo, maana kuanzisha uzi naona tabu.
Ongea na wenyeweji wa huko vizuri uonyeshwe zinapouzwa.π
Usijali, utaenjoy msosiHakika nitakuwa mtiifu sana wa kupokea zawadi za bagia toka kwako π weka piilpili mingiiii
πππΊUsijali, utaenjoy msosi
Asante dadaOoh hongera sana
Si useme tu umefungiwa kwani Kuna ubayaππView attachment 2638179
Haya mambo ya kupotea kisa mapenzi sio ya Mhe. Rwakatale pekee aliyepotelea kwa Ashura wa Tabata π€ͺπ
Nakumbuka miaka ya 77, 78 tukiwa tunajiandaa kwenda kumfurusha Iddi Amin pale Uganda, tukiwa Kambini pale Tabora si kuna mwenzetu alipotea kwa kutekwa na binti wa Kinyamwezi.
Baada ya kumtafuta kwa siku 22 ndiyo kuja kumkuta kwa yule binti wa Kinyamwezi akiwa wamemlowekea Uniform zake za kazi π
Amepotea song by Mbosso Khan
Hii nyimbo imefanya nikumbuke mbali sana kwa kweli π€ͺ
Hello Sunday π₯
Kwa Uzee huu muda wote tunatakiwa kupelekwa Kliniki Mwanamke gani ataweza kuchukua risks hiyo π€ͺSi useme tu umefungiwa kwani Kuna ubayaππ
πππKwa Uzee huu muda wote tunatakiwa kupelekwa Kliniki Mwanamke gani ataweza kuchukua risks hiyo π€ͺ
Kufichwa ni hatari Mjukuu π
Nilitaka kuongea neno hapa ila Wakili wangu amenikataza ππππ
Kila la kheri Wananchi, ila mpunguze kutusimanga Ndugu zenu wa mtaa wa Msimbazi mkishinda π€ͺKila la kherii wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii πͺπππ!!
Maisha ndio hayahayaaa babuu akeee Enjoyyyyyyyy!!View attachment 2638179
Haya mambo ya kupotea kisa mapenzi sio ya Mhe. Rwakatale pekee aliyepotelea kwa Ashura wa Tabata π€ͺπ
Nakumbuka miaka ya 77, 78 tukiwa tunajiandaa kwenda kumfurusha Iddi Amin pale Uganda, tukiwa Kambini pale Tabora si kuna mwenzetu alipotea kwa kutekwa na binti wa Kinyamwezi.
Baada ya kumtafuta kwa siku 22 ndiyo kuja kumkuta kwa yule binti wa Kinyamwezi akiwa wamemlowekea Uniform zake za kazi π
Amepotea song by Mbosso Khan
Hii nyimbo imefanya nikumbuke mbali sana kwa kweli π€ͺ
Hello Sunday π₯
Uwe nini?Naomba niwe au basi......
Amina amina kubwaaaaa granpa!!ππππͺ!Kila la kheri Wananchi, ila mpunguze kutusimanga Ndugu zenu wa mtaa wa Msimbazi mkishinda π€ͺ
Naona plan ya kuendelea kuvisakafia bado iko ππThat steak looks ππΎ π π
Ila ingekua na mafuta mafuta kidogo bana!ππ
Mwanafunzi wako wa marry jUwe nini?
Babu yenu sina jipya, hapa navuta zangu kiko tu π€ͺMaisha ndio hayahayaaa babuu akeee Enjoyyyyyyyy!!
Usisahau mchezeshe rafu kama zoutreeee!πͺππΊ
Samaki wamekodoa macho ππDepal sisi tunashinda humu....View attachment 2638123