Uduguuu huijui twiraaaa?? Wee naee uwiiiiih.Ninini hiki kinachotrendi huko mjini Twitter???
Shoss akee Hivi Twitter ndio ipo Huko Daslam ama??![emoji1783][emoji1783][emoji16]!
Sinaga Aa wala bee nahivi vitu walai hebu nipeni AB C kwanzaa ![emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyiee mnatakaa wazee, sasa mie nna contenaa LA vijanaaa yankiiiiiiii[emoji3]wapi ndugu@cocastic kaninyima huwez amini hajanipa hata mmoja
Hekaheka nyingi tu dear hii wiki Bora imeisha
Kwani microwave kazi yake nini??😟😟Itafika imepoa 🤣🤣
Carlton wivu + madawa yake vinamvuruga!Carlton anazingua sana...yani kuna muda unampenda penda kidogo, ila for the most part he is very unlikeable!!!! Lisa nae tatizo upofu wa mapenzi unamsumbua!🫣🫣 Kale kajamaa hakamfai kabisa, ila sipendi akiwa na Will either maana Carlton wa watu karoho kanakua kanamuuma!😔
Nampenda Jazz (hata yule wa zamani) ila bae mpya wa Hillary ni 🔥 🔥🤩 Kama bado hujafika hapo vumilia vumilia.....😀
🤣🤣🤣 dahKwani microwave kazi yake nini??😟😟
Yani we muda wote ni 😂😂😂😂😂😂😂, mpaka kwenye nyuzi za Tanzia ni 😂😂😂😂😂😂 .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee niwacheeee nafaidii runguz za vijana wa UD ya mwisho mwishoo, sasa tukiachanaa July kukutana tena lini??
Nimejiachiaa free kuzifaidii kwa wingi mnooo, sahivi natongozaa mwenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio kaagiza ice cream.Kwani microwave kazi yake nini??😟😟
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilijua unavonifatiliaaa hii lazimaa ikuumee na uta comment tyuuh, bado wawili naona hawapo online muda huu.Yani we muda wote ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka kwenye nyuzi za Tanzia ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Itamfikia imeyeyuka🤣🤣Mwenzio kaagiza ice cream.
Jamani muonee huruma hata kidogo Carlton!😁😁Carlton wivu + madawa yake vinamvuruga!
Lisa anamtaka Will, wakiwa wote kwangu its fine, C atajiheal kwa mbele huko akitulia akapendana na Jazmin, kwanza washa 💋 so wamalizie walichobakiza 😂
Jazz ✅
Wa zamani tuone wataishia wapi
Mpya nadhani sijafika, RN niko Ep8 😂
Wasituweke sana kufika S3 😋
Sawa mwanafunzi wa UD.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilijua unavonifatiliaaa hii lazimaa ikuumee na uta comment tyuuh, bado wawili naona hawapo online muda huu.
Vipii nakutesaa sanaaaa?? Poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naacha basi 😂😂
Nishachoka sifikiii tu 😂😂Sure, nishapona ila hako ka alama bado kananikumbushia maumivu yake.
Mwachiluwi anaenda Mbeya pazuri kwa kina mshamba_hachekwi kupigia makelele yake huko. Dar nasikia wamemfukuza 😂😂😂
Umeniambia nijikaze niache nijikazembeya sehemu gani dogo....
Ataweka kwenye microwaveItamfikia imeyeyuka🤣🤣
Afu siringii wala nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mwanafunzi wa UD.