National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
It's never fun...POLE!Nikirudia kuwekwa cannula labda nakaribia kudanja π
Hivi hivi big No. kialama cha cannula tokea April hakiishi
View attachment 2637707
Ex wako uku kasema et unakithembeππMimi sina kithembe we kibogoyo π€£
Nataka ya VIP niangalie kwa utulivu.π
Wewe na huyo Ex wangu wote wehu π€£Ex wako uku kasema et unakithembeππ
Sure, nishapona ila hako ka alama bado kananikumbushia maumivu yake.
kwangu hakuna slope ajikaze πSure, nishapona ila hako ka alama bado kananikumbushia maumivu yake.
Mwachiluwi anaenda Mbeya pazuri kwa kina mshamba_hachekwi kupigia makelele yake huko. Dar nasikia wamemfukuza πππ
mbeya sehemu gani dogo....Sawa ngoja nijikazee Mshamba
Bora πSure, nishapona ila hako ka alama bado kananikumbushia maumivu yake.
Mwachiluwi anaenda Mbeya pazuri kwa kina mshamba_hachekwi kupigia makelele yake huko. Dar nasikia wamemfukuza πππ
anahangaika kila saa yeye ni vitumbua tu πBora π
Bora akawasumbue huko, sie vichwa vinatuuma.πππ
Kwani order moja ikija huku itakua sh. ngapi???ππππππ€ Dr Lizzy View attachment 2637824
Itafika imepoa π€£π€£Kwani order moja ikija huku itakua sh. ngapi???ππ
Usimtishe mwenzakokwangu hakuna slope ajikaze π
Carlton anazingua sana...yani kuna muda unampenda penda kidogo, ila for the most part he is very unlikeable!!!! Lisa nae tatizo upofu wa mapenzi unamsumbua!π«£π«£ Kale kajamaa hakamfai kabisa, ila sipendi akiwa na Will either maana Carlton wa watu karoho kanakua kanamuuma!πKwanza huku kwa Bel Air sijapenda hiki kipande Carlton anamjibu shit hivi mtoto mzuri Lisa πππ
Jibu la fvck you limemkomesha π€£
Dr Lizzy
Eti yuko desperate to get over Will & she is willing to jump the 1st asshole that pays any attention π€ mie ningelia wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee niwacheeee nafaidii runguz za vijana wa UD ya mwisho mwishoo, sasa tukiachanaa July kukutana tena lini??Nipoo kipenzee huku mikaratasi huku maandalizi ya rekezzooo basi hekaheka tupuu[emoji4]!
Wiki nzima hii sijakuona humu walai ukute coca ashakupatia kitruuu kimya kimya mnaenjoy tyuu maisha hukooo[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!
Mkipata wa akiba msinisahau dadaenu hapaa[emoji144][emoji1783]!