Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo nawagawa bureee.
Tayari mke wa Herode kaingilia kati kutupambania wapwaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbna kivumbiiiiii leo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo nawagawa bureee.
Tayari mke wa Herode kaingilia kati kutupambania wapwaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbna kivumbiiiiii leo.View attachment 2637375
Hii hakuna kulala wallahπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nihamie huko nkajionee
Waeke space bana kama ile ya salomeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tushachoka sasa tunataka kwa maneno
 
Wallah kibarua kitaota nyasi
Afu kama utani utani hivi hivi unashangaa kazi hana
Na vile vimeno sijui ataving’oa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbwa yuleeee mbna atakomaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanamuambia majizzo kesho huko EFM jogging, aweke wazi mshahara wa kikatuni, maana ana dharau sana watuu.

Watu wako serious jomoneeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii hakuna kulala wallah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nihamie huko nkajionee
Waeke space bana kama ile ya salome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tushachoka sasa tunataka kwa maneno
Wawekee space nimchambeee kikatuniii hadi sautii ikateee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Navyomtamaniii huyui mbwaaaah aseeeeh.
Yaan achaa tyuuh
 
Mshahara upi bwana
Uskute hata anakopwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kilichowakimbiza wale wengine kwenda wasafi ni niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tangu muda EFM inalalamikiwa hailipi mishahara kwa muda
 
Wawekee space nimchambeee kikatuniii hadi sautii ikateee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Navyomtamaniii huyui mbwaaaah aseeeeh.
Yaan achaa tyuuh
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†kwan kaka kikatuni kakufanya
Maana una hasira zaidi ya herode mwnyweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila mbona mlikua mnamsifia fresh alivyopata kazi EFM mkasema ni mtu wa kuigwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚imekuaje jaman
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usiimini binadamu ndugu yangu

Hususani Sisi paid slaves

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara upi bwana
Uskute hata anakopwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilichowakimbiza wale wengine kwenda wasafi ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu muda EFM inalalamikiwa hailipi mishahara kwa muda
Shangaa nawee dear hapoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekua analipwa vizuri, wenzake wangekimbiaaa? Atuachee kwani bhanaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akae kwa password tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjawahi kuwa upandee wa kikatuniii dear hata siku 1, niwe wazii yulee mbwaaa namchukiaaaa alikua anafanyaa twitter niione km kituo flani hiviii.

Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna janaaa nililala rohoo kwatuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…