Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe unabishana hadi na watu wakubwa huko twitani
Sithubutu mm ni kusoma ukaangwajiπŸ˜‚

Em rudi bana tupalilie vayolens
 
Hance machembaaa naee ule mpuaa wake linajionagaa linajua kila kituu.

Watu wame wakaangaa, jamaniii Herode katuamulia ugomviii kati ya watesi na wapwaaaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amekua mtetezi wetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu hana hata makuu, wala haringi

Umekaona kale kanaitwa sununu sijui skununuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kametweep kua upande wa kikatuniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚watu wakamwambia baada ya kusema atakugonga ndo unaanza kujipendekeza
 
Hance machembaaa naee ule mpuaa wake linajionagaa linajua kila kituu.

Watu wame wakaangaa, jamaniii Herode katuamulia ugomviii kati ya watesi na wapwaaaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani twitter hii week sio ya kupitwaaaa woiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unabishana hadi na watu wakubwa huko twitani
Sithubutu mm ni kusoma ukaangwaji[emoji23]

Em rudi bana tupalilie vayolens
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimemuuliza majizzo ana ajiri vipi mtu hana vyetii, katia likes hajajibu badooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimemuuliza majizzo ana ajiri vipi mtu hana vyetii, katia likes hajajibu badooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah kibarua kitaota nyasi
Afu kama utani utani hivi hivi unashangaa kazi hana
Na vile vimeno sijui ataving’oaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…