Selfika na JF: Snap it. Show it

Rudi tuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hujibu kwan shingap bana

Kuna mtu kasema tofauti ya kikatuni na dr farida hamnaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kikatuni anajifanya hajali anapost vibia ila watu hawaelewi
Hadi joti kampikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naomba mumuite majizo aingilie kati hili swala
 
hehehe pole dear
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapwaa tumesemaa hatumuelewiii hadi aletee vyeti na bank statements.

Mbwaa yuleeee mbna atahama twitter wee subiri, hii week tunaye na hatumuachiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
K
Friday is for vayolenceeeeee.

Na Yule jamaaa mwenye pua wamemkaaanga pia.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda alisema yuko shamba hana muda wa kubishanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtu akamwambia punguza poa hizo unatumia hewa nyingiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Ila wamezidiiiii aiseeee
Kisa tuna followers 20 bas tunaonekana hatuna maanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msameheni wazeee.

Ila lakumfananisha mke wake na wa herode dah mmeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii nawashwaaaa kumkaangaaaa yulee mbwaaa, yaan natamanii maneno mapyaaa yanijie kichwaniii

Mbwaa yuleee alininyalii eti mie twitter nimemkuta na nitamuachaaa, nyokoooo zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halina hata vyetiiii, hivi majizzo ana ajiri vipi mtu hana vyetiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha joined 2020

Kuna ujinga mwingi saana twita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kale kadada kanaitwa Ilham nako wamekachanganyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanasema pisi yake kikatuniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sasa akihama twita itakuaje maana hakuna anapojulikana zaidi ya huko
Sio ajabu yenywe kibarua kwa majizo kikaota nyasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Arudi zake kwnye msharaha wa 600k
Nahis na coco atamkimbiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msameheni wazeee.

Ila lakumfananisha mke wake na wa herode dah mmeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukipata na picha ya katoto kao tunafananisha piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila heshima yake imeshuka balaa
Kila mtu saiv anamwambia tunagombana kwa vyeti, bank statement na mkeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Salary yake ina digiti Saba.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mavi yake yambaneee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna haoneshii sasa hizo digits 7 watu tuonee.

Wenye vyeti wenyewee hizo 7digits wanaziona kwa TV, ndo awe yeye kigagulaaa uchwaraa wa twiraaaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbwaa yuleee mbna atakomaaaaaaaa
 
Ana Cherti bwana si alikuwa headquarter za equity afisa masoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hance machembaaa naee ule mpuaa wake linajionagaa linajua kila kituu.

Watu wame wakaangaa, jamaniii Herode katuamulia ugomviii kati ya watesi na wapwaaaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…