Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha coca mpana sana wewe

Muoneeni huruma inatosha maana sio kwa spana zile mnazompa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yulee hii week yote tunayeee, na hatumuachiii, tunataka twitter iwe ya usawaaa.

Mie mpanaa kweli, kila pp niliyopo ni vurugu match tyuuh, afu heka heka naziwezaaa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…