mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
dah, sijitetei ushankamata 😂Unawaonaga wapi?
dah, sijitetei ushankamata 😂Unawaonaga wapi?
😂😂 nishaelewadah, sijitetei ushankamata 😂
Kanaitwaje?Hiyo avatar yako inanikumbusha ka movie flan
Kuna ingine inaitwa Bel AirTrue lie
umeshalewa bro waambie wakushikie simu 😂mshamba_hachekwi mwambie Depal watoto wamelala atupie pic basi tushushie hii grey goose Vodka.
umeshalewa bro waambie wakushikie simu 😂
😂😂 kwa mbaliiiiiYap. Kumbe na wewe ni mnoma kabisa😂
Kwa mbali uijue hiyo movie, ungetaja jumong sawa. 🤣 We ni pro mwenzangu😂😂 kwa mbaliiiii
hakuna mbabe mbele ya 40 abv usinidanganye 😂Niko smart sana, nalewa yes but sijawahi yumba. Na huwa sizimiki. Kwanza naywea home. Hiyo chupa moja nakunywa wiki nzima.
😂😂😂😂😂😂😂Kwa mbali uijue hiyo movie, ungetaja jumong sawa. 🤣 We ni pro mwenzangu
Nachanganya kidogo tu, ndio maana nakunywa wikihakuna mbabe mbele ya 40 abv usinidanganye 😂
Depal tupia pic moja basi mrembo.😂😂😂😂😂😂😂
sasa mzuka ule kuweweseka unapataje 😂Nachanganya kidogo tu, ndio maana nakunywa wiki
Nimewahi kuweweseka? 😅😅sasa mzuka ule kuweweseka unapataje 😂
sasa raha ya kunywa si ile kuwa tipsy??Nimewahi kuweweseka? 😅😅
Tunatofautia vichwa 😅 mi nikiwa high hata tukikutana huwezi nigundua haraka.sasa raha ya kunywa si ile kuwa tipsy??
ipo siku utakutana na mtungi wa hatari 😂Tonatofautia vichwa 😅 mi nikiwa high hata tukikutana huwezi nigundua haraka.
Nakunywa kwa afya sio kukomoa.ipo siku utakutana na mtungi wa hatari 😂
Wachaaaa wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]