Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Aahahah kukuGily dogo anatuleta sijui anatuchukuliaje
Aahahah kukuGily dogo anatuleta sijui anatuchukuliaje
Msaga sumuHujaona nguo na viatu sasa
msiwaze nkirudi ntawaatoa out wewe na Lenie 😂bills on me🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 upoje wewe
Eti umenona uso 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi mshamba_hachekwi anajua kma wewe ni mkorofi sana?
Mwanangu tafuta hela
Au tuwe chawa wa totoo
Maana babake hakosi prado yenye roof 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ahahha udugu mwambie Lenie akusimulie mimi siwezi kabisa 😂😂Kwahiyo uzi umefutwa? 😂😂😂 ulikuwa unahusu nini udugu wetu
😂😂😂😂 na nikakosea kuvaa min dressNdio maana umepandishiwa nauli sio kwa hako kajicho. Mdada wa watu atakuwa bado anakukumbuka😂
Mi mvivu kuzurula ndo maana sehemu nyingi sizijui.sounds great
napenda kuzurura
sema jamaa ana hela akitumia mara mojamoja sio mbaya 😂Bro Peterrabbit achana nayo hii please .
🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 upoje wewe
Eti umenona uso 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi mshamba_hachekwi anajua kma wewe ni mkorofi sana?
Mwanangu tafuta hela
Au tuwe chawa wa totoo
Maana babake hakosi prado yenye roof 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Inasikitisha sana 😂😂Jamani Lenie nasubiri voice note hiyoo
Udugu kasema ushee nami
Mwanzoni ngumu , kuzurura ni kipaji kweli .Mi mvivu kuzurula ndo maana sehemu nyingi sizijui.
Angalau nilipoanza kufanya delivery za perfumes zikazunguka zunguka kiasi,japo ratiba ndo inaingiliana.
prado zipo za kubefe na range rover sport😂 nitakufanyia wepesi
Alcohol kiasi ganisema jamaa ana hela akitumia mara mojamoja sio mbaya 😂
T-bone kama T-bone!!!🤤🤤Lenie 😂😂 nitakukumbusha uichome nile kwa macho mieeView attachment 2635896
Atume full pic
Wewe🤣🤣Yaani ungemkagua huyo dada mikono lazima alitetemeka sana, maana anaona huyu boss lady kabisa, tena high class labda vogue lake limepata shida kidogo😂
Alikua kaegamia Prado namba EYaani ungemkagua huyo dada mikono lazima alitetemeka sana, maana anaona huyu boss lady kabisa, tena high class labda vogue lake limepata shida kidogo😂