mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
40% sitanii hiyo ni zile ukinywa sana unalazwaAlcohol kiasi gani
40% sitanii hiyo ni zile ukinywa sana unalazwaAlcohol kiasi gani
Unamaliza shule lini vile?prado zipo za kubefe na range rover sport😂 nitakufanyia wepesi
hebu tuonje just a sip .Unaijua, kama fanta tu huyo dogo ananisagia kunguni tu
Kumbe kama Sungura ..40% sitanii hiyo ni zile ukinywa sana unalazwa
duh hatari nyingi hiyo bro
Karibu sana sanahebu tuonje just a sip .
niletee nipo getini hapaKaribu sana sana
njooDepal njoo uone, nimezidisha mbwembwe potato wedges zimegeuka cousin wa mash! 🙈🙈🙈View attachment 2635938
inaleta liver cancerKumbe kama Sungura ..
Nikukute pale kijiweni na Ice Coffee mezani!!☺️
ukweli usemwe 😂Dogo mbona unasaga kunguni sana🤣 hiyo ni fanta kasoro rangi tu
mpigie simu sijisikii kujielezaMwambie huyo masai akuruhusu
TamuuuT-bone kama T-bone!!!🤤🤤
siko shule niko chuo jamani😂Unamaliza shule lini vile?
hapo hapo utanikuta 😊Nikukute pale kijiweni na Ice Coffee mezani!!☺️
ukiwa unajilipua lazima ujue what you might lose😂Tafuta hela dogo, umeanza lini kuwa mshauri😅
duh mbaya sana hiyoinaleta liver cancer
prostate cancer
ina macalories kwahiyo na vitambi pia
Peterrabbit atakuambia 'we only live once' 😂duh mbaya sana hiyo
hauku zifry? 😂😂Depal njoo uone, nimezidisha mbwembwe potato wedges zimegeuka cousin wa mash! 🙈🙈🙈View attachment 2635938
haha njoo unichukue nikutane na german Shepherd hapo 😂😂Poa, nimemwambia, sogea tu