ah wapo bhana , ni una bargain naye chap ..Hao wa zamani enzi za jk, wa leo hii hatabuwe na sauti ya kinanda, wanataka hela. Maana anajua akilegeza akachukua namba tu ukishuka unaanza gesi imeisha home😅😅
waache wale wengineChamtu huliwa na mtu
Ongeza nyamaMdudu iringa bei cheeeView attachment 2635889
Inatosha bossOngeza nyama
hii wiki sirushi roho nataka nitoboe 90 days sober😂 ila Depal nimeona ataniwakilisha vema....@mshamba_hachekwi ndo upo kwa preparations
vidada vinapenda kurusha roho sijui vikiniita nakataaje 😂All the best Mkuu
utatoboa kikubwa kufika malengo tu hapo .
Ignore calls zao hapo tu ndo utaweza .vidada vinapenda kurusha roho sijui vikiniita nakataaje 😂
nimeona unaenda the pillars😂Abee
😂😂😂😂😂 nacheka sanaaaa mwananguMahangaiko 🤣🤣
easier said than done😂 wengine wanakupitia kabisaIgnore calls zao hapo tu ndo utaweza .
Wkend mwanangu 🤣nimeona unaenda the pillars😂
Wakaushie tueasier said than done😂 wengine wanakupitia kabisa
mpe moyo jamaniLabda kutoboa tobo
umeenda kwa ajili ya nyama au kujilipua 😂Wkend mwanangu 🤣
Hata mia kwa konda nadai.Unalalamika kwa 2000?😂 Ungempa 10000 kabisa, na keep change.