Selfika na JF: Snap it. Show it

Bantu Lady Aaliyah cocastic Naombeni msuko mmoja uwe mkareeee yani matraaatraaaaa sanaaa .. utaonipendezaa kwenye li komwe languu hiliiii😊😊!!
Sio knotlesss . sio mabutu sio njia mbili sio yebo.. Mwingine kabesaaaa
Hapo sasa mrembo. Usijali nitakutumia Whatsapp, uchague upi utaupenda. Ungekuwa hapa nilipo, ungetengeneza nilionao mimi sasa.
 
Uko vizuri kwa mapishi

Karanga ni nzuri sana pia ikitumika kwenye mapishi. Tatizo langu nikinunua karanga zile zilizosagwa na kuwa packaging huwa naanza kushawishika kuzila zenyewe au kupaka kwenye mkate. Hazitoboi kukaa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…