Sure...kama zinapikwa zote kwa wakati mmoja. Kama zangu zilikua leftovers, cabbage tu ndio nilipika.kwa watanzania wanaoishi chini ya $1 kwa siku inakua ngumu kidogo....
Napenda sana nazi aisee. Ukiacha wali naziUnapenda sana???Mi naonaga kawaida π
Yalikua na nazi. Yale π« mekundu haswa ndio huwa napenda yasipokua na nazi.
ππΎππΎNapenda sana nazi aisee. Ukiacha wali nazi
Nina hizi mboga zangu lazima ziwe na nazi maharage, njegere, samaki, kisamvu
Makande nazi pia
πππ wababa hizo mambo hawajui
Selfikaπππ wababa hizo mambo hawajui
Mbona nakuonaπ
Bora kama unapambana na wastaafuπππ wababa hizo mambo hawajui
Mbona mapema sana π
Me namshangaa mtu asiyekula makande.ππΎππΎ
Sasa umetaja makande ya kazi gani?????ππ Utanifanya nijishughulishe nayo wakati muda sina!π΅
Kisamvu cha karanga je hupendi??? Mie vyote ulivyotaja + mchicha na mnavu uliochanganywa na nyama, bila kusahau majani ya maboga!!!! Ugali unakua unashuka vizuri sana!π€€π€€
So ndio miamba ya SKU hiz
Inachapia had wale za watuSo ndio miamba ya SKU hiz
Natengeneza mazingira ya kupata raise boss.π€Mbona nakuonaπ
Kaboss ka mchongo mchongo!βΊοΈπ€©Mbona mapema sana π
Au we mwenyewe ndio Boss π₯°
Huo muda nilikuwa kwa blanket π
Yan huku hatupoi, tumemaliza mvua tunaingia baridi.
ππππMe namshangaa mtu asiyekula makande.
Kuna rafiki yangu hali kabisa. Kisa eti aliyala sana shule. Namwambia pesa kidogo tu unaanza kukandia chakula ya kitanzania π
Tena huku nakula mpk ya mahindi mabichi πππ