Selfika na JF: Snap it. Show it

Siwezi nunua eneo upande huo sio wa kibiashara kabisa. Ila watu wa kusini wananunua sana mkuranga huko na chanika😀
Kule pana uswahili sana sio pa kununua kiwanja ujenge. Kama ulizoea maeneo yaliyostaarabika nakwambia nyumba utaiuza uhame ukajenge kwingine 😄
 
Kule pana uswahili sana sio pa kununua kiwanja ujenge. Kama ulizoea maeneo yaliyostaarabika nakwambia nyumba utaiuza uhame ukajenge kwingine 😄
😀 kwa uzoefu wangu uswahili uutake mwenyew
Nimebahatika kujenga sehemu zenye uswahili kiasi kama manzese darajani ila labda kwa sababu imepakana na sinza😀 mbona kodi ziko bomba sana...
kwenye nyumba za biashara unaangalia kodi ikoje na eneo husika ila nyumba ziko fenced. .
 
mdogo sana aisee around 7.
my sisters 😍😍😍
mmoja akaona mbona hanioni wakaanza kunitafuta , usiku huo halafu T haonekani mama alikuwa anakaribia kurudi ndo kufungua nipo kwa freezer .
ni Mungu tu .
Umepitia misukosuko sana. Mungu na apewe sifa zake ni kwa neema aliwatumia watu wa familia kukusaidia.
 
Vipi nyumba yako ya kuishi mwenyewe na familia yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…