Selfika na JF: Snap it. Show it

huyu dogo hakai sinza yulo huko karibu na mkoa wa pwani. Angekaa sinza angeringa sana๐Ÿ˜€
nahisi huwa analima Lima huko
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sasa nimekuelewa ndo maana kuna wakati anasemaga yuko Mbezi ya Kimara stand ya Magu kumbe ndo huwa anaendaga shamba. Oya Mwachiluwi unaingiaga Chalinze au Msata?
 
Pole sana huwa unakabilianaje na hiyo hali ili isije tokea tena kufanya maamuzi kama hayo?

Ulijaribu na dawa za pharmacy au illicit drugs?
Thank you aisee , im a postive person sana , i dont like negative things at all .

encouraging myself all the time , no matter situation na kusema i can do it .

talking to a friend concerning an issue .listening to some music na pia smiling ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

dawa za pharmacy zilikuwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ