Selfika na JF: Snap it. Show it

huyu jamaa kwel anakaa na wazazi sio masikhar akikwambia sivyo ujue kadanganya

alafu ana tabia ya kuja pm na I'd zake anajifanya demu ukijichangany umepotea jinga sana
🀣🀣🀣 hii ndo shida ya watoto wa Sinza wakiwa kwenye vile vyumba vya uani wanajiona wako magetoni kumbe wanakula ugali wa shikamoo. Kumbe katapeli fulani daadeki
 
kama fala sijawah ficha uhalisia wangu. πŸ˜€ wanaonijua hunu
1. Tinsley
2 Nourhan
3 Mwachiluwi
4 Uboboh
5 ms eyes
6 Dahan
7.....

wengine marehemu sasa. Humu tuna marafiki wa kufa na kuzikana nyinyi mnakuja kupoteza mdaπŸ˜€
hongera aisee shem kapata HB master of supervillains πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 hii ndo shida ya watoto wa Sinza wakiwa kwenye vile vyumba vya uani wanajiona wako magetoni kumbe wanakula ugali wa shikamoo. Kumbe katapeli fulani daadeki
huyu dogo hakai sinza yulo huko karibu na mkoa wa pwani. Angekaa sinza angeringa sanaπŸ˜€
nahisi huwa analima Lima huko
 
Mda kidogo wakati nipo shule
nilikuwa naumwa sana na nilikuwa sielewi hii dunia .

mara ya pili baada ya mama kuondoka , i felt empty , nikawa na shida fulani ikaniongezea masikitiko .

nina moyo wa ajabu , unawahi kuumia sana mtu chake .
Pole sana huwa unakabilianaje na hiyo hali ili isije tokea tena kufanya maamuzi kama hayo?

Ulijaribu na dawa za pharmacy au illicit drugs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…