Selfika na JF: Snap it. Show it

Apulize perfume za kutosha
Majini ya hela lazima yapite kuwasalimia hapo feri
ila mie ntakufa niko hoi, janaa nimetulia na pafyumu bwoiii wee tumeagana tyuuh, nkachukuana na Genius panda zetu bajaj hao segereaa, tumezururaa wee huko tukarudi tukapita njia ya kinyerezi kutokea mbezi.

majini ya hela yako ferry kwan?
 
Ko mkajizungusha segerea
Mtafika Akhera mkiwa hoi 🀣

Sasa Feri zi na mnazama baharini pale kupiga stori mbili tatu na majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…