HongeraMjini hapa.
ππππaf sijari ππ na majungu yenuMwanaume wa Dar katika ubora wako
nipende hivi nilivyo boom nalipia kodi πNijengeeni kwanza sanamu na mnipe maua yanguπ₯°
Boom la mshamba_hachekwi likitoka hahahaa tutaona itakavyokua π
Kodi sio muhimu sana totoonipende hivi nilivyo boom nalipia kodi π
Kwa kuwa kazi ya Ujenzi ni shirikishi basi nitatoa gharama zote za Ujenzi alafu kazi ya kusimamia ubora nitamwachia mshamba_hachekwi , akichakachua sementi juu yake π πNijengeeni kwanza sanamu na mnipe maua yanguπ₯°
Boom la mshamba_hachekwi likitoka hahahaa tutaona itakavyokua π
sitaki ku-bunch na masela vitu mnashare kijingaπ mihogo yangu nakula mwenyeweKodi sio muhimu sana totoo
Sema kweliππππaf sijari ππ na majungu yenu
Nasubiria kuona majibu yake kuhusu hili πnipende hivi nilivyo boom nalipia kodi π
ππππ na usiku napiga show kibabeSema kweli
Na kidhungu kabisa.... Asante kwa kukaziaπ€ !That's true
Huyo hela ataenda kununulia msosi abadili diet, asipewe tendaπKwa kuwa kazi ya Ujenzi ni shirikishi basi nitatoa gharama zote za Ujenzi alafu kazi ya kusimamia ubora nitamwachia mshamba_hachekwi , akichakachua sementi juu yake π π
Tutahitaji evidence ili tujiridhishe, sio kwa msosi huoπππππ na usiku napiga show kibabe
Kwanza kwanini hajajenga hadi leo?Nasubiria kuona majibu yake kuhusu hili π
Itabidi nimwambie mshamba_hachekwi aje arekod ushahid ππTutahitaji evidence ili tujiridhishe, sio kwa msosi huoπ
nakupenda pia mwaaaa πKwanza kwanini hajajenga hadi leo?
Mambo ya kujibana bana kwenye nyumba za kupanga me sijazoea
Kumbe tupo wengi tunaotembea kwa daladala na amsemi ili tungojeane kituoni vibaya
Shanga kama shanga hahaha... sijui kwanini nimecheka sana hapo kwenye shanga/ cheni!Hahaha...............Hongera kulimaliza π€
Vizinga mfululizo, nimesikia vinamaliza nguvu za kiume.
Sisi Wazee, miaka yetu hatukuwa na Vizinga. Sana sana ukienda Gulioni siku ya Mnada, utamnunulia mpenzi wako nguo ya ndani au Shanga kama zawadi πππ
Umeongea point nzuri sana!Obviously anaefanya hivyo anakua ameona fursa ya kupunguza dhiki zake, nothing more, nothing less.
Sasa we babu ukiingia kwenye mahusiano na mtu wa design hiyo utasema umependwa kweli ama kujisikia raha, knowing zikipungua tu kidogo unaweza ukabwagwa just like thatπ«°πΎ????ππ
I'm not saying hela sio muhimu, ni muhimu tena sana!!! Mchagga mimi naipenda hela π―, but that's why I work. Mambo yakiwa magumu ntakopa kwa ndugu & marafiki zangu, ikitokea bahati nikapendana na mtu ambae yuko financially secure ntafurahi maana tutaendelea kula bata & kuishi comfortably, lakini siwezi kujiingiza kwenye mahusiano kwasababu ya pesa hata niwe na shida kiasi gani.
Mnavyokubali kutumiwa mkubali maisha ya kutupwa kila mnapokoma kuwa useful!π΅π«€
Hata stendi ya Magufuli Mtalala au sio ? πππKodi sio muhimu sana totoo