Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie mwenyewe nilipata mchepuko, si ukaniambia ili uzae na mie niujengeee nyumba, nilitaka kuchanganya damu na kuacha chata maana niliielewa sana sana damu yake na ukoo wake nikasema acha nijilipue tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. ila ilipofika hapo pa kujenga nikaona hii kesi nzito sanaaaa sijawa fisadi bado
 
Ni kweli Mjukuu, inafikia wakati Mwanaume akiachana na wewe anaenda kusheherekea kama amemaliza deni la Bodi ya Mikopo πŸ™ŒπŸƒπŸƒ
Deni la bodi ya mkopoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚!!

Umenikumbuka deni lao namaliza mwakahuu hapo kati walii mbona nitasherekeaa!!
laki na 48 sio padogooo!!

Mizinga inawakata stimuuu sanaπŸ˜πŸ˜πŸ˜„!!
 
Deni la bodi ya mkopoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚!!

Umenikumbuka deni lao namaliza mwakahuu hapo kati walii mbona nitasherekeaa!!

Mizinga inawakata stimuuu sanaπŸ˜πŸ˜πŸ˜„!!
we mzalendo sana shangazii.. sijalipaga deni lao na hata sina mpango πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. maana sina kazi bado
 
we mzalendo sana shangazii.. sijalipaga deni lao na hata sina mpango πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. maana sina kazi bado
we mzalendo sana shangazii.. sijalipaga deni lao na hata sina mpango πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. maana sina kazi bado
Sie walitutafuta kazini lol ukiwa serikariki huwezi kuwakwepaaa... tena Mie walichelewa kuanza kunikata two years saii ningekua nishamaliza zamani sana!!
 
Sie walitutafuta kazini lol ukiwa serikariki huwezi kuwakwepaaa... tena Mie walichelewa kuanza kunikata two years saii ningekua nishamaliza zamani sana!!
aaah! kumbe mlio na kazi ndio mna dakwa, sie majobless walikuwa wanatupanga tuwe tunapeleka hata laki moja moja.. tukasema hiyo laki ya kwiyooo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Obviously anaefanya hivyo anakua ameona fursa ya kupunguza dhiki zake, nothing more, nothing less.

Sasa we babu ukiingia kwenye mahusiano na mtu wa design hiyo utasema umependwa kweli ama kujisikia raha, knowing zikipungua tu kidogo unaweza ukabwagwa just like that🫰🏾????πŸ™„πŸ™„

I'm not saying hela sio muhimu, ni muhimu tena sana!!! Mchagga mimi naipenda hela πŸ’―, but that's why I work. Mambo yakiwa magumu ntakopa kwa ndugu & marafiki zangu, ikitokea bahati nikapendana na mtu ambae yuko financially secure ntafurahi maana tutaendelea kula bata & kuishi comfortably, lakini siwezi kujiingiza kwenye mahusiano kwasababu ya pesa hata niwe na shida kiasi gani.

Mnavyokubali kutumiwa mkubali maisha ya kutupwa kila mnapokoma kuwa useful!😡🫀
 
Kabisa kipenzi Bora kufanyya Kazi na kuridhika na maishayako mapenz yawe option kuwa unahitaji na mtu sio vitu vyake na tujue Hata km mtu ukamkuta ana uwezo ni wake sio wako tutafute vyetu aisee

Na always mwanaume akikuta unahitahid kujijengea uwezo binafs hawez acha kukusupoort kuliko kuwa omba omba ya vitu visivyo na maana
 
Wee Aaliyyah mi sio ya nauli na ya kutolea tyyu hadi ya kusukaa ya king'amuziii naombaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜!!
 

Kufaidika lazima, hilo halipingiki hata kidogo. Issue ni faida gani mtu anayoangalia....😏
Kila mtu anaingia kwenye mahusiano akijua kuna kitu atapata in return for what she/he gives.

Tabu inaanza ukidondokea kwa wale users & takers. Mwanamke/mwanaume anaetegemea wewe umtatulie matatizo yake ya kifedha wakati yeye hata siku moja hawezi kukusaidia wewe hata kwa nusu ya unayomsaidia wewe, na ambae ukitetereka kidogo anakukimbia wa nini sasa??

Labda muwe na mkataba wa kibiashara na sio mdanganyane mpo kwenye mahusiano ya kimapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…