Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari πŸ™Œ

Babe akisema umpeleke Dinner Hyatt Regency Dar Es Salaam uwe na hela ya kumpeleka πŸ€—
Au chumvi kwenye chakula isipokuwepo , hakuna ladha tena .
wazeee mna maarifa sana
heshima kwenu baba zetu .
 
Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari πŸ™Œ

Babe akisema umpeleke Dinner Hyatt Regency Dar Es Salaam uwe na hela ya kumpeleka πŸ€—
Mapenzi ya pesa ni utumwa granpah!!! Hasa kwa kizazi chetu hikiii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
 
Mapenzi ya pesa ni utumwa granpah!!! Hasa kwa kizazi chetu hikiii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Mabinti wengi wa kileo, hawana uvumilivu kwenye maisha magumu. Unaweza kuamka ukajikuta umepewa kibuti hata hujajiandaa πŸ™Œ

Watoto wangu wa Kiume nimewaambia wajikite kutafuta hela, ukikosa hela kwa Dunia ya sasa una dharaurika kuanzia kwenye vikao vya familia hadi kwenye mahusiano ya Ndoa.
 
mna raha
Mzumbe usipoingia vipindi utafeli vibaya . wanaangalia sana tutorial .

nilichokereka ni vipindi kuanza saa moja asubuhi kisa ni kijijini wanaamua tu .
MUST raha sana.... imagine semester iliyopita tulifeli weeeπŸ˜‚ mkuu wa chuo akatuongezea marks.... niliingia mapindi 2 tu
 
Kuwabadirisha Vijana wa kileo kuna hitaji muda.

Hata hivyo tunaendelea kuwaelimisha taratibu, ingawa nilianza na Vijana wangu tangu wakiwa na miaka 3 😁
hongera sana babu , anza na hao .
watakuwa vijana bora kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…