Mwanafamilia mtarajiwa!ππMashaalah!!
shamelaaa Kama shemelaaa.
Ni muda wa kulala π₯³mikono inatetemekaπ huoni huyo mkubwa tushammaliza....
Niongoze nini πβΊοΈβΊοΈ
Uniongezee kidogo nijiskie!π
Ndiwooooh!!!! Hatutaki kujichoshaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kimoko kwa afya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapooo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni njia Mojawapo ya diet [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna ubayaa wowote ule
Kubet ni diet wewe πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningeshaingia kwenye uraibu wa kubett, yule Kaka alitaka kunipotezaa kabisaa lol. Nashukuru niliepuka mapema
π€ πNiongoze nini π
Mna kazi sanaKubet ni diet wewe πππ
Una 2000 unaanza kuigawanya. Buku uipeleke kwa Mhindi jero ule mihogo na jero jingine ununue maji halafu unaanza kutembea maana inakuwa umeshaipeleka kwa Mhindi ukitarajia hilo buku likuletee 120,00πππ
Kuna rafiki angu aliingizwaa mkenge na bwana ake, eti akasema waweke 30k kwa kubett kuna hela nyingiii.Kubet ni diet wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Una 2000 unaanza kuigawanya. Buku uipeleke kwa Mhindi jero ule mihogo na jero jingine ununue maji halafu unaanza kutembea maana inakuwa umeshaipeleka kwa Mhindi ukitarajia hilo buku likuletee 120,00[emoji23][emoji23][emoji23]
the hub πNi muda wa kulala π₯³View attachment 2630738
Kubett sio jambo bayaa mbna.Yaani ubaya ubaya tu upo kwenye kubeti
π¬Mna kazi sana
ππ si ni life tuthe hub π
Tushamvua vyeo huyo achana naye
Jana mida ya saa 7 usiku nashuka kwenye daladala Kuna wajinga walikuwa wanavunja nazi kwenye ofisi ya betting π€£π€£π€£Kubett sio jambo bayaa mbna.
Tena sio kubett, ni u afsa ubashiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa mbona unawahi kutoka πππ si ni life tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie sitaki kucheka lol.Jana mida ya saa 7 usiku nashuka kwenye daladala Kuna wajinga walikuwa wanavunja nazi kwenye ofisi ya betting [emoji1787][emoji1787][emoji1787]