mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
tunafocus kwenye vitu vya msingi, mtakuja wenyewe 😅haha mnakaza kiume
tunafocus kwenye vitu vya msingi, mtakuja wenyewe 😅haha mnakaza kiume
Ila depal🤣🤣🤣Mwanaume mcute hivi weww kweli ndio umechagua kuliwa na mafuta 😂😂😂
Acha hizo bob.
Zile mbanga sio poa!Yes yeees. Food testa mwenye mikwara mingi Kwa wapishi.
sasa badala akatafute pisi kali anajipea mwenyewe😂Kumbe na uchebe unao
Loh 😂😂😂Kiroba 😂
Hahaa na tunavyojua kudeka 😂😂tunafocus kwenye vitu vya msingi, mtakuja wenyewe 😅
Ndo nashangaa 😂😂😂sasa badala akatafute pisi kali anajipea mwenyewe😂
Haki nimetamani ndio niwe hayo mafuta ðŸ¤ðŸ™ˆ ila ndio haiwezekani.Ila depal🤣🤣🤣
na mimi nataka niunge chama.... nimeona manufaaMwanaume mcute hivi weww kweli ndio umechagua kuliwa na mafuta 😂😂😂
Acha hizo bob.
🤣🤣🤣Haki nimetamani ndio niwe hayo mafuta ðŸ¤ðŸ™ˆ ila ndio haiwezekani.
Babe care zishamwendea Pemba
Hey mzee wa miwani,mambo vipi?Una tumbo au mfuko ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Mwanzo hi I'd yako nilidhani wa kike,nilikugananisha na kapachino tunda wa whozu . Kumbe niliuingia mkenge. Sorry Sana,Kumbe kijana fulani hivi shababy.
Manufaa yepi umeonana mimi nataka niunge chama.... nimeona manufaa
mashallah, lips nzuri na ushungi huo
View attachment 2630612
ndiyo naanza hapa
Sasa mkuu huku ndiyo kuselfika gani? Unatuaekea fulana nyeupe? Umekata Sana mzee,punguza kucrop Kaka.
Hahaha yes.japo tulimsnich sana.Zile mbanga sio poa!
Nilikuaga na wapambe wawili wote nao Ni freee tu.
Tatizo ulikuwa bize Sana na Gipson mtoto wa Mungu haha
Hii ndio baadhi yetu inaitwa mbinguni kwa baba tutafika! Ila tukiwa tumechoka sana.Mara hiii???🤣🤣🤣
Hiyo ni 1/100 🤓
Labda pisi zinamzinguaNdo nashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]