Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,818
Naam food taster Kama food taster mkuu.Utanashati tangu kitambo saana mzee wa hall v. Heshima kwako
Naam food taster Kama food taster mkuu.Utanashati tangu kitambo saana mzee wa hall v. Heshima kwako
Kudadeki siselfiki Tena 😂😂😂haha tuna albam nzima
Ni ka-gubu tu kalikua kananinyemelea I guess 🫣🫣hahaha mbona vigezo vyote nafuata as instructed
Dr LKumbe msikivu ehhh???[emoji54]
Point moja tayari!![emoji1477][emoji851]
haha mnakaza kiumekawaida tushazoea 😂
yeah mkuu, ya kufungia siku, si unaona saa 4 hii ?Unaanza kupiga pull au?
16.4.1(a) juz tu washatoa 16.5Nimezima.
Ios 16.5 ushaidownload?
Nataka nijue ina nn cha maana
Utani bana! relax mtoto mzuriKudadeki siselfiki Tena 😂😂😂
Yes yeees. Food testa mwenye mikwara mingi Kwa wapishi.Naam food taster Kama food taster mkuu.
🤩🤩Umenikumbusha mbalii sana 🥲View attachment 2630627View attachment 2630628
haha 1/3 eh?Kumbe msikivu ehhh???😯
Point moja tayari!!👊🏾🤓
Nimeona wameweka 16.516.4.1(a) juz tu washatoa 16.5
Kiroba 😂Una tumbo au mfuko ?? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Dr L
Point moja chache saana. Hapo amebeba zaidi ya tano.
alipie tangazo sasaMwanaume mcute hivi weww kweli ndio umechagua kuliwa na mafuta 😂😂😂
Acha hizo bob.
Mara hiii???🤣🤣🤣haha 1/3 eh?
Kumbe na uchebe unao
Mwanzo hi I'd yako nilidhani wa kike,nilikufananisha na kapachino tunda wa whozu . Kumbe niliuingia mkenge. Sorry Sana,Kumbe kijana fulani hivi shababy.haha bishoo Tena Dr ake Aaliyyah