Mkono soft wapi,picha ya kudownload hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una mkono soft
Kazi njema
pole na bado demu akujibu ovyomambo mengi, muda mchache, mwanaume mateso....
Lini tena??? Mapumziko muhimu!!😌umefanya nikukumbuke sana hukuuu.. hadi roho imepata upwekeView attachment 2630620
Atume nyingine tuthibitishe sio 😂Mkono soft wapi,picha ya kudownload hiyo.
dronedrake unatuchezea kekundu,weka picha yako halisi bana.
Naaaam.
unaniruhusu nikae nayo ?Karibu selfika
Kumbe msikivu ehhh???😯
Khe umesave mara hii 😂😂Futa mkuuunaniruhusu nikae nayo ?
Utanashati tangu kitambo saana mzee wa hall v. Heshima kwako
subiri dk 0Mkono soft wapi,picha ya kudownload hiyo.
dronedrake unatuchezea kekundu,weka picha yako halisi bana.
eeh nilisave chap, okay naifutaKhe umesave mara hii 😂😂Futa mkuu
kawaida tushazoea 😂pole na bado demu akujibu ovyo
AiseeMaboss zenu tunafanya kazi mpk wkend
Tia maji tia maji lazima mpumzishwe kidogo
Unaanza kupiga pull au?View attachment 2630612
ndiyo naanza hapa
haha tuna albam nzimaKhe umesave mara hii 😂😂Futa mkuu
Una tumbo au mfuko ?? 🤣🤣🤣Early lunch Dr Lizzy View attachment 2628538