Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii. LolNimekumbuka Leo nimecheka balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe tengeneza jipiei kwanza.Tatizo mtonyo brohhz, unakuta naangukia tena Mawasiliano hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna km napajua, si malamba mawili msikitini unaingia kwa ndanii?? AuMshana Jr maeneo yetu ya kujidai. Kingazi resort. Siku hizi pamepooza Sana sijui kwa nini. View attachment 2630583
nilifulia vochaπ nimeguswa sana na kunimiss kwako....I miss you totoo, ulikua wapi leo
Basi sawaa, GPA sio tatizoWewe tengeneza jipiei kwanza.
Weka Basi lipsi zako za wema sepetu hapa,kabla sijaingia kitandani maana Leo nimechoka sana,nalala mapema.Utakufa vibaya wew [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
usione aibu, sema ulinimiss πππ mbona sikumbuki
mzigo unatoka kama uji yanii shwaaaaa.. unajaza ka kikombe kadogo π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shangazi huyooo
Tuliaπ€£π€£Week Basi lipsi zako za wema sepetu hapa,kabla sijaingia kitandani maana Leo nimechoka sana,nalala mapema.
Pole saaanaAlafu aunt siku mtaniacha nakufa mkajua utani [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dawahizo zingine nimemaliza nimekunywa dawa kama sio mm muoga chezea kufa wew[emoji23][emoji23]
Umeme ukakatika saa nane na homa Kali nililia balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie
Sijaenda job wiki nzima hii Aunt
Hapana,Mbna km napajua, si malamba mawili msikitini unaingia kwa ndanii?? Au
Huyu hata hanipendi nikampigia mdogowangu mmoja hiv akanibembeleza na kichambo alikuwa hajalala ππ
Watu mnadeka , mie nikiumwa hata ππDuuh poleee shangaziiiii, sasa ndo uliee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiumwaa siwezi kulala pekee angu, siweziii hataaa.
Nilikumiss πusione aibu, sema ulinimiss π
Niambie auntshangazi huyooo
Kwaiyo Ni swala la muda tu eh Dr? hahaπππππ
Imagine ukimkosa mzungu kisa tu umesafisha hotpot wakati wenyeji hatujala....π«£π«£View attachment 2630576
Kwa kweli Aaliyyah kwenye lipsi tu Mungu amekubariki.
umependeza sana, upo mzuriii hadi raha kukuonaaNiambie aunt