Sikumpenda aisee , i used him maana nilikuwa kapweke
Ikabidi nimdanganye nimehama dar uwiii ,ili tusionane
.
alivyokuja dukani , nilivyoona anaongea ngeli , nikamjibu weh
akachukua namba ili nimuelekeze maana hapajui na pia watu akienda dukani wanamuibia
so toka mwanzo nilijua namsaidia tu basics za kuishi dar