robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 539
- 1,532
[emoji28][emoji28][emoji28]Woooooowwwww!!!!
Babeee km babeee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Afu mbna hapo mbele pametuna sana?? Hujavaa boxer leo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yeah siweziBora aisee
Sasa nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Unaendelea vizuri sana!ππΎππΎππΎ
Hehee alikuwa mshikaji wangu hivi .. yeah he's lovely .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukumpiga picha nawee?? Jomonee kuna mikaka mizuri wee acha tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao ndo wazurii wee dear.Hehee alikuwa mshikaji wangu hivi .. yeah he's lovely .
picha sina , that guy was sincere , honest and loving too .
niliona siwezi date footballer , kila saa wapo mazoezi mara nn [emoji23][emoji23][emoji23]
Na tulikaribia kufika hahaa πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao ndo wazurii wee dear.
Mbna ulikataa fursa adhimu.
Woooooowwwww!!!!
Babeee km babeee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Afu mbna hapo mbele pametuna sana?? Hujavaa boxer leo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaa mnooooo.Na tulikaribia kufika hahaa [emoji23][emoji23][emoji23]
siwawezi nasikiaga wahuni sasa mtu mgeni humjui , mmekutana tu dukani [emoji23][emoji23] .
Nilianza kumzoea , nikaamua nimchane siwezi , haikuwa rahisi but i had to .
Nn wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aloooo
Nn wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniona wapii wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umependeza ujue
Umeniona wapii wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikumpenda aisee , i used him maana nilikuwa kapweke ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaa mnooooo.
Kwann lakini.
Njoo wee [emoji23][emoji23][emoji23]Hapa watu wengi njoo pm nikwambie nilipokuona
Njoo wee [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear kumbe nawee unadanganyaaaa, nimechekaa, kwann ulimfanya mghana n daraja kwako.Sikumpenda aisee , i used him maana nilikuwa kapweke [emoji23][emoji23]
Ikabidi nimdanganye nimehama dar uwiii ,ili tusionane [emoji23][emoji23][emoji23] .
alivyokuja dukani , nilivyoona anaongea ngeli , nikamjibu weh
akachukua namba ili nimuelekeze maana hapajui na pia watu akienda dukani wanamuibia [emoji23][emoji23]
so toka mwanzo nilijua namsaidia tu basics za kuishi dar
Nshafungua.Fungua pm basi nije mtoto mzur