Mimi je..??
Imagine unaamka zako unakutana na kapicha ka ubwabwa rage kanakutazama kwa maqhaba kabisa.
Nambariki sana alokuja na hii combination ya ubwabwa rage..!!
Mimi je..??
Imagine unaamka zako unakutana na kapicha ka ubwabwa rage kanakutazama kwa maqhaba kabisa.
Nambariki sana alokuja na hii combination ya ubwabwa rage..!!View attachment 2628580
Mbona kuna yale maji na mkaa mara 1. Tafuta sufuria zito na kubwa (aluminium ni mazuri zaidi) loweka for 15 min yaweke jaza maji jaza mkaa ukalale, yakiungua nakurudishia pesa yako